Yanga yaifuata Zanaco


Asha Kigundula

MSAFARA wa wachezaji 20 na vion­gozi 10 wa klabu ya Yanga, unatara­jiwa kuondoka nchini leo kwenda Lusaka Zambia, kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa Af­rika dhidi ya Zanaco utakaofanyika Jumamosi hii.

Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Charles Mkwasa alisema jana kikosi hicho ki­naondoka leo saa 9, alasiri kwa ndege ya Shiriki la Kenya.

Mkwasa alisema kikosi hicho kesho kitafanya mazoezi kwenye uwan­ja utakaotumika kuchezea mch­ezo huo Jumamosi.

“Kikosi kinaondoka Alhamisi saa 9, alasiri na Ijumaa kitafanya mazoezi yake kwenye uwanja utakaotumika kwa mchezo huo,” alisema Mkwasa.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Laptop City

Tangazo